Tumia Tanakali za Sauti kwenye mabano.

Tanakali za Sauti Tumia maneno kwenye mabano. ( regerege, mpwitompwito, pomoni, bwebwebwe,chapuchapu, wa, chupuchupu, gubigubi, ndondondo,fyu) 1.  Kudondoka ______. 2.  Kuregea ______.  3. Kujifunika ______.  4. Kumaliza ______.  5. Kuchapua miguu ______.  6. Furaha […]