Akiba haiozi

Akiba haiozi – Unachoweka kando kwaa matumizi ya baadaye haipotei ama kuoza. Ile siku utakapoitaji, utaipata.

Ahadi ni deni

Ahadi ni deni – kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya jambo fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa mtu au watu.