Ubeti Ni aya au fungu moja la shairi wingi ni beti
Shairi
Shairi ni mtungo wneye mpangilio maalumu wa lugha ya mkato katika maandishi au winbo unaoeleza ujumbe fulani na kuzingatia kanuni za ushairi
Enriching Local Knowledge
Kamusi tabu ambacho kinaorodhesha maneno ya lugha ya Kiswahili