Jikoni ni mahali mwa upishi. Jikoni munaweza kuwa katika shule, nyumba au hata katika hoteli.
- Jiko – chombo cha kupikia. Jiko linaweza kuwa la makaa, kuni, stima, mvuke, gesi na hata la jua.
- Seredani – jiko la makaa.
- Mafiga/mafya – mawe matatu ya jiko la kuni.
- Dohani – mfereji wa kutolea moshi jikoni