Tanakali za Sauti
Tumia maneno kwenye mabano.
( regerege, mpwitompwito, pomoni, bwebwebwe,chapuchapu, wa, chupuchupu, gubigubi, ndondondo,fyu)
1. Kudondoka ______.
2. Kuregea ______.
3. Kujifunika ______.
4. Kumaliza ______.
5. Kuchapua miguu ______.
6. Furaha ______.
7. Kuponea ______.
8. Kujaa ______.
9. Kumwagika _____.
10. Kubweka ______.
Kubweka Bwebwebwe
Kujifunika Gubigubi