Ahadi ni deni – kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya jambo fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa mtu au watu.
Enriching Local Knowledge
Ahadi ni deni – kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya jambo fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa mtu au watu.
Hii ni methali inayotukumbusha kwamba ukitoa ahadi huwa inageuka kuwa jambo la kutekelezwa na lazima litekelezwe