Ubeti Ni aya au fungu moja la shairi wingi ni beti
Shairi
Shairi ni mtungo wneye mpangilio maalumu wa lugha ya mkato katika maandishi au winbo unaoeleza ujumbe fulani na kuzingatia kanuni za ushairi
Kupamba kochokocho
Kupamba kochokocho
Kuvurugika vuruguvurugu.
Kuvurugika vuruguvurugu.
Kukataa katakata.
Kukataa katakata.
Aliye juu mngoje chini.
Aliye juu mngoje chini – Inamafunzo kwamba usiringe ukifanikiwa, yawezekana ukarudi chini Hii Methali ina maana sawa na methali zifuatazo
Mpanda ngazi hushuka
Mpanda ngazi hushuka – Usijidhanie Ukifanikiwa ama usiringe ukifanikiwa
Tumia Tanakali za Sauti kwenye mabano.
Tanakali za Sauti Tumia maneno kwenye mabano. ( regerege, mpwitompwito, pomoni, bwebwebwe,chapuchapu, wa, chupuchupu, gubigubi, ndondondo,fyu) 1. Kudondoka ______. 2. Kuregea ______. 3. Kujifunika ______. 4. Kumaliza ______. 5. Kuchapua miguu ______. 6. Furaha […]
Akili nyingi huondowa maarifa
Akili nyingi huondowa maarifa